Luvungi-RDC: Mwanamke (Mchawi) auwawa Luvungi tarafani Uvira

21 october 2015
Katika mji wa luvungi mama mmoja auwawa kwa kupigwa mawe na vijana wenye hasira asubui ya jana, kulingana na duru zetu marehemu alikuwa anashutumiwa uchawi, hayo ni baada ya mwanafunzi aliemaliza shule kufariki wanawake wengine watatu wakakimbilia mikononi mwa askari polisi ili kuepuka hasira ya vijana, na askari polisi wakarusha risasi juu ili kutawanya kundi la vijana.

UviraOnline: Kiza Djuma

Les-femmes-violees-de-Luvungi