LUBERIZI-RDC: mlio wa masasi husikika kunako kijiji Kahanda

Mlio wa masasi husikika kunako kijiji kahanda chefferie ya bafuliru, ni hii siku ya ine tariki 25 / julay / 2o19 mida ya saa nane. Nikatika operesheni ya kutafuta vikundi vyenye kumiliki silaha kinyume na serkali.

Duru za mahali hueleza kuwa ni kijana moja ndie huchukuliwa katika mahali hayo kwa kuzaniwa kuwa maimai. Katika operesheni hiyo akuna alie fariki kama vile duru za serkali hueleza.

Opesheni hiyo ni kwa njia ya kupunguza uwizi na mauwaji tarafani Uvira, tambarare mwa mto ruzizi, tarafani uvira na nyanza za juu.


Nikiripoti toka luberizi, Fiston Ruhimbika Didier kwa niaba ya UviraOnline.