Bukavu-RDC: Mgombania ugavana wa Sud-Kivu Théo Ngwabidje na makamu wake vice-gavana Marc Malago wakutanana na wa mama

Kikundi cha ushindi mweshimiwa gavana Théo Ngwabidje na makamu wake vice gavana Marc Malago wamekutana na wa mama wa cach Sud-Kivu le tarehe 29 mars 2019 pa Bukavu, kwa mazungumuzo ya maendeleo ya jimboni na kazi wamama wa CACH watakazo zifanya. Alikueko pia mama Bintuzigabe Zigabe kiongozi wa wamama wa UNC Sud-Kivu.

Leave a Reply