Jinsi ya kuponya FIGO yako kwa chakula na Viungo || William Muyuku

Hapa tuna kuonyesha jinsi yakusukua FIGO yako, Figo hufanya kama mfumo wa asili wa kuchuja mwili kuondoa takataka, sumu, na maji kupita kiasi kutoka kwa damu. Angalia video hii ili ujue gisi yaku sukua figo zako.

Video hii imeandaliwa na mimi William Muyuku na team yangu. Unaweza ukanipata kwa social media nyingine. Usisahau kuacha comment, naku subscribe kwa chanel YouTube  yetu (@TibanaAfya) upate notifications tukitia video zingine.