Bukavu-RDC: Kiongozi wa polisi generali Charles Bisengimana alikuja kufanyisha semina ya majifunzo ya askari polisi

Mkuu kiongozi wa polisi generali Charles Bisengimana amewasili hapa mujini bukavu kwajili yakuitimisha semina ya majifunzo ya askari polisi wa jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo hususani katika jimbo la kivu. …

Bukavu-RDC: Kiongozi wa polisi generali Charles Bisengimana alikuja kufanyisha semina ya majifunzo ya askari polisi Read More