Mkuu kiongozi wa polisi generali Charles Bisengimana amewasili hapa mujini bukavu kwajili yakuitimisha semina ya majifunzo ya askari polisi wa jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo hususani katika jimbo la kivu.
Wahuzuriaji ni polisi waliotoka jimboni kivu ya kaskazini na awa wa jimbo la kivu ya kusini. generali bisengimana alizungumuza kwamba atagusiya kwajili ya afya ya polisi inchini jamuhuri ya kidemokrasia ya kongo,alieleza maratena kwamba kazi ya polici ni shwari popote katika DRC kwa kazi polici wanakwenda kuifaa kwa inchi. hapa mujini bukavu atatembeleya vituo mbalimbali vya polici jimboni kivu ya kusini, utafahamu kwamba ameweza kushikizwa na mkaguzi mkubwa wa polisi jimboni kivu ya kaskazini AWASANGO UMIYA Vital.