[br] Operecheni yakuondowa vikama vya magari kandokando ya barabara imekwenda kuripotiwa hii leo jumatatu 28 mechi 2016 hapa mujini Bukavu kwenye nafasi ya hippodrome. Operecheni hiyo inatekelezwa na askari polisi wa jamuhuri ya kidemokrasia ya kongo.
Meya wa muji PHILEMON YOGOLELO LUTUMBO ndiye amechukuwa atuwa hiyo kwaajili ya kupambana na ali mbaya ya uchafu pamoja na usalama mdogo. utafahamu kwamba vikama hivyo vinapelekwa kwenye shirika OVD mtaani kadutu/industriel ambapo kila mwenyeji wa vikama anaombwa kupeleka kiwango cha pesa dolla mia tatu za marekani (300$).
Pour UviraOnline: Jefferson Nakatende