Communiqué: Programme kilio cha Martin Lenghe fils de Mwami Lenghe Rampa wa Uvira

Martin Lenghe
Tunasema jambo,

Tungependa kujulisha  wale ambao bado awaja jua kwamba familia ya mwami Lenge ilifiwa tangu dimanche le 03 avril.
Martin Lenghe, kijana wa miaka 20 alifariki kisha kupigwa masasi katika mji wa Atlanta Umarekani.

Kilio kimewekwa hadi hii jeudi nyambani kwa Dada Lenghe hapa ku
15309 121 ST NW,
Edmonton, Canada.
Mwami Lenge KilioNa watasambaza kilio samedi Calgary. Na mazishi ita fanyika USA le 16 avril 2016

Pole inaweza tolewa kwa number hizi:

Dada Lenghe  17808070747 (Canada)
Justin Lenghe 1404 5877098 (USA)
Jamani tuende kuomboleza familia hii kwasababu tunawaonaka katika vilio vyetu vyote tangu wafike  .

Asante