Uvira-RDC: Rahiya 13 waliouwawa na majambazi waliovamia gari la benki TMB wamezikwa leo

29 september 2015
Baada ya majambazi kuvamia gari la benki TMB na kuuwa watu 13 na kujeruhi wengine wa 5 siku ya ijumapili hapo lemera ni hii leo ndiyo miili ya marehemu imezikwa hapa jijini uvira.

Askari wamezikwa mbele ya wenzao wakishuhudia kwenye makaburi ya hapo mulongwe. Na Blaise ambae alikuwa dereva wa gari pamoja na msaidizi wake wamezikwa mbele ya umati mkubwa wa watu akiwepo waziri jimboni wa mipango na bajeti MZEE SOMORA PATRICK.

Dereva amefariki akiwa na umri wa miaka 43 akiacha mjane mmoja na watoto sita na msaidizi wake alifariki akiwa na umri wa miaka 40 akiacha mjane mmoja na mtoto mmoja.

Kwa niaba ya UviraOnline: Kiza Djuma Akbar

Uvira_Fizi_militaire tué a Lemera.jpg (Unicode Encoding Conflict (1))Uvira_Fizi_militaire tué a Lemera_w (Unicode Encoding Conflict)Uvira_Fizi_militaire tué a Lemera_3 (Unicode Encoding Conflict)Uvira_Fizi_militaire tué a Lemera_1 (Unicode Encoding Conflict)Uvira_Fizi_militaire tué a Lemera_ (Unicode Encoding Conflict)

 

Leave a Reply