Jana tarehe 19 mwezi wa tisa 2015 ilikua kusambaza kilio cha Marehemu. KABIMBA BONGABONGA LAMBERT mu ville ya Joliette, Québec-Canada.
Papa LAMBERT alizaliwa Mboko mu 1952 na akafariki le 07 Sept 2015. Alikuwa na Diplôme ya D4 ya Agronomie pa Uvira, alitumika ku Sucrerie de Kiliba; akatumika pia Baraka ku ESTAGRICO.
Alikuwa cofondateur wa Shirika la coopérative EBABI ya Kabondozi Mboko na akateuliwa kuwa Agronomie wa Shirika hilo.
Papa LAMBERT Alikuwa mwongozi wa Parokia la Mtakatifu Petro pa Mboko, alikuwa pia Mkateshista wa Parokia, alikuwa pia msimamizi wa Shirika la Kaaele Mboko.
Papa LAMBERT Alikuwa greffier wa Groupement ya Babungwe-Nord , aliwahi kuwa Président wa comité de Parent ya Inst. du Lac ya Mboko.
Papa LAMBERT Alioa mke mmoja kwa jina la SELA MALENGA na walizaa watoto neuf ( 9) cinq garçons na quatre filles na wote ni wazima
Jamaa ya Papa LAMBERT hapa canada; maman CHARLIE TAMONE SUNGURA na bwana yake Bishop GARANT wanashukuru sana kwa yeyote ule alikuja ku waomboleza.
UviraOnline inawaonyesha picha za sherehe iyo