Bujumbura: Skuku ya Uhuru wa Burundi

Bujumbura 1-07-2015
Askari aliye dhalikishwa na waandamanaji katika jiji la Bujumbura hii leo tarehe 01/07/2015 kwenye skuku ya Uhuru wa Burundi muheshimiwa Rais amuinuwa kwa cheo na mamilioni kadha ya fedha

Raisi Nkurunziza
Raisi Nkurunziza

Burundi independance1Burundi-independance_1a

Burundi independance_1

Burundi independance_6

Burundi independance

Wakati huohuo Mtakura-Bujumbura
Jeshi la police Nchini Burundi lawauwa na kuwakamata na kuvikamata vifaaa vyiakivita kwavijana walishawahi kuwa mistari wambele ktk maandamano ya kupinga Muhula wa tatu

Burundi independance_7

 Pour UviraOnline: Omary Niyonzima

Leave a Reply