Tanzania: WASIFU (Bio) WA JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI.

Magufuli


JOHN MAGUFULI amezaliwa 29 Oktoba 1959 Wilayani Chato Mkoani Kagera,
Alisomea Shule La Msingi Katoke Biharamulo mkoani kagera baadae akajiunga na jeshi la kujenga taifa kwa mujibu wa sheria na kusomea kwenye shule tofauti na kumalizia kwa kupata shahada ya uzamifu ya kemia kwenye chuo kikuu cha Dar-es-salaam.
Alipomaliza elimu yake mnamo 1982 akaanza kutumia taaluma yake ya kemia na hisabati kwa kufundishe shule la sekondari sengerema hadi 1983, baada ya hapo akafanya kazi mkemia katika chama cha ushirika cha nyianza huko Mwanza hadi 1995.

Katika uchaguzi wa 2005 MAGUFULI aligombea kwa mara ya tatu na kufaulu kama mbunge, hapo tarehe 12 julai 2015, amechaguliwa na chama chake cha CCM kukiwakilisha kwenye uchaguzi wa rais mbio hizo zimekamilika baada ya kutangazwa mshindi na kura 8.882.935 ikiwa ni sawa na %58.46.

Dr.-John-Pombe-Joseph-Magufuli-660x330