Polémique entre Justin Bitakwira et Idi Shabani (audio)

Mwezi wa tatu mwaka huu wa 2017, Bwana Idi Shabani alituma ujumbe wa maneno yenye kusikilika kupitia mitandao yaki jamii kama vile whatsapp, facebook,..  kuhusu Justin Bitakwira, ujumbe huo  ulifikia UviraOnline na ikamutumia bwana Bitakwira. Jibu la Bitakwira lilitoka baada ya siku mbili. Ila mambo hayo yamefika mbali, na sasa kunakua majibizano ndiomana UviraOnline imekuhabarisha iliujue zaidi nini kinaendelea kati ya ndugu zetu hawa.
 
Hapo chini vipande vya sauti vya pande zote mbili
 
  1. Idi amuripua Bitakwira live (Diaspora Uviroise aux USA) 
  2. Bitakwira amujibu Idi live  (ex-Ministre gouvernement Badibanga)
  3. Idi amujia tena Bitakwira 
  4. Wasikilizaji waingilia kati ya Bitakwira na Idi


    Usikilivu mwema

    UviraOnline: William Muyuku