HATUA DHIDI YA AFRIKA KUSINI….

..MSUMBIJI
Serikali ya Msumbiji imepiga marufuku magari yote ya mizigo na abiria ya Afrika kusini kutoingia nchini mwao.

ZIMBABWE
Watu zaidi ya 5000 wamevamia ubalozi wa Afrika kusini mjini Harare na Bulawayo kupambana na raia wa afrika kusini wanaoishi nchini humo.

zumaMALAWI
Maduka yote yanayomilikiwa na raia wa Afrika kusini yamelazimishwa kufungwa na watu wamevamia ubalozi wa Afrika kusini nchini humo.

CHINA
Serikali ya China imetoa amri ya siku 7 kwa Rais Zuma kumaliza ghasia dhidi ya wageni kabla ya kuwaamuru raia wao warejee nyumbani.

MAREKANI
Serikali ya Marekani imetangaza kuwa itaiwekea vikwazo afrika kusini kama hatawatatua suala la Xenophobia.

BOKO HARAM
Kundi la kigaidi la Boko Haram limetoa amri ya siku 5 kwa serikali ya afrika kusini kumaliza Xenophobia kabla hawajalipua ubalozi wao nchini Nigeria.

NAMIBIA
Serikali imefungua shauri katika shirika la Haki za Binadamu la dunia dhidi ya afrika kusini kufuatia mauaji dhidi ya wageni.

DRC
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetoa siku 4 kwa kampuni zote za madini za afrika kusini kuacha kuendesha shughuli zao nchini humo.