Burundi: Raisi Peter Nkurunziza ameshinda ucaguzi kwa 69.4%

Nkurunziza election 2015Leo le 24 Juillet 15h à Bujumbura, Kwenye Hotel Royal Palace kundi ya mandaalizi ya Uchaguzi katika Inchi ya Burundi, imetoa resultat ya ucaguzi mkuu wa raisi wa Burundi.

Raisi Peter Nkurunziza ameshinda ucaguzi huo kwa 69.41% pakifuatia Agathon Rwasa umoja mwa wanao ongozi Opposotion ya Burundi kwa 18.99%. Taux de Participation ya wa raia ilikua ni 73,44%

Raisi Nkurunziza ataapishwa tarehe 26 mwezi wa munane kama inavyo ongea Code electoral ya Burundi.

UviraOnline in Bujumbura

LES ELECTIONS SE SONT BIEN DEROULLEES/CENI BURUNDI

 

One Comment - Write a Comment

Comments are closed.