LE 1 MARS 2017
Le tribunal militaire de garnison d’Uvira vient d’être doter ce mercredi matin d’un hangar qui servira à la tenue des audiences publiques. Les cérémonies se sont déroule au siège du tribunal militaire de garnison d’Uvira. Financé par la Monusco, cela intervient dans le cadre d’appuyer l’état Congolais à améliorer le travail de la justice militaire.
Exécuter par la société HADEC, l’ouvrage a coûté plus de 15000 dollars américain. Les cérémonies se sont déroulé en présence de du coordinateur provinciale de HADEC, du chef de bureau de la Monusco Uvira et de l’administrateur du territoire.
Plusieurs allocutions ont été prononcé: le coordinateur de HADEC Roger MUUMA parle d’un ouvrage qui devrait être exécuté en trois mois, mais ils l’ont terminé en deux mois. Quant au chef de bureau de la Monusco Uvira, il remercie Hadec d’avoir exécuté cette ouvrage avant même le délai prévu. L’administrateur du territoire LUNGANGA LENGA SAMUEL a remercié la MONUSCO qui ne cesse d’accompagner la République Démocratique du Congo, dans le développement, il précise que cette ouvrage vient d’allonger la liste de réalisation de la Monusco en territoire d’Uvira.
Swahili
LE 1 MARS 2017
Mahakana ya kijeshi Uvira imepata siku ya tatu mchana,nafasi mpya ya kuendeshea masambo ya hazarani.Sherehe hizo zilifanyika kwenye makao makuu ya mahakama ya kisheji ya Uvira.Ikizaminiwa na MONUSCO ya Uvira, imetukia katika lengo ya kusaidia Inchi ya Congo ya kidemokrasia kuendesha vizuri kazi za mahakama makuu ya kijeshi.
Kazi hizo zilitekelezwa na shirika HADEC na ikagarimu kiwango cha dola za
kimarekani 15 000. Sherehe hizo zilifanyika mbele yake mratibu wa shirika HADEC, hafisaa mwandamizi wa Monusco Uvira pia mkuu wa tarafa.
Hotuba kadhaa zilitolewa ,mratibu wa shirika HADEC ROGER MUUMA,alisema kwamba kazi hizo zilipashwa kumalizika kwa miezi mitatuila walijitahidikuimaliza kwa miezi miwili tu. Kwa upande wake hafisaa mwandamizi wa MONUSCO Uvira ,alishukuru shirika la HADEC kuendesha kazi hizo na kuzimaliza mbele ya mda uliokua unapangwa.Kwake mkuu wa tarafa ya Uvira LUNGANGA LENGA SAMUELI, alishukuru Munusco kwa kufanya kazi inchi ya Congo ya kidemokrasia kwa maendeleo rasmi,akasema liste na ujenzi iliotekelezwa na MONUSCO imekua ndefe tarafani Uvira.
UviraOnline: Mazambi M’penge Wakul’itete
Crédit photos: Kiza Pavel