MUHASANYA LUBUNGA aliyekuwa mbunge mchaguliwa wa tarafani Fizi kwa ngazi ya jimbo,mwana chama cha MSR ”Mouvement Social pour le Renouveau” aliyefariki septemba 11 jijini Nairobi nchini Kenya, leo hii mwili wake umefika baraka na kesho utasafirishwa fizi mjini kati ili kuzikwa.
Pour UviraOnlune: Kiza Djuma
ooohhhhh mzee wangu!!!!!