(Le swahili suivra)
La crue de la rivière Kavimvira sur la route national numéro cinq en plein cité d’Uvira barre passage aux véhicules, cela depuis plus de trois jours. Les véhicules qui essaient de traverser dans la rivière, est vite retenu dans le sable.
L’information est livrée par les chauffeurs dont leurs véhicules sont bloqués au quartier Kavimvira et Kasenga, de part et d’autre de la rivière Kavimvira en crue. La cause est la démolition du pont par les eux de la rivière depuis avril dernier.
Un chauffeur qui a gardé l’anonymat se dit inquiet de cette situation, après que son véhicule soit retenu dans la rivière pendant plus de deux jours. Il précise le financement de plus de deux cents millions de francs Congolais pour la construction d’un pont de dépannage à la rivière Kavimvira ne sert à rien, car selon le chauffeur, les travaux tourne au ralenti. Il est a noter que le lundi matin, plus de cent véhicules sont bloqués en attendant que les eaux diminue pour trouver passage dans la rivière.
SWAHILI
Kujaa kwa mto Kavimvira, kwenye barabara ya taifa ya namba tano jijini Uvira, inazuia gari zisipite, tangu sasa siku zaidi ya tatu. Gari zinazojaribu kuvuka KWA KUPITIA NDANI YA MTO ZINAENDA KUZAMA NDANI YA MCHANGA; hABARI HIZO ZATOLEWA KWETU nao madereva ambao gari zao zimeshindwa kuvuka zikiwa kwenye kata ya Kavimvira na Kasenga ,ngambo na ngambo ya mto Kavimvira yenye kujaa.Hayo alisababishwa na vile kilalo ya mto huo ilikatika na maji tangu aprili iliopita.Dereva mmoja asietaka jina lake litajwe alieleza uviraonline kwamba anakua na wasiwasi kuona gari yake ilizama ku kubaki ndani ya mto zaidi ya siku mbili bila msaada.Huku tayari serkali imetoa zaidi ya franka millioni 200,kwa kujenga kilalo ya mpito sasa wiki tatu ,ila haisadie lolote kwa vile kazi zenyewe zaendeshwa kwa mwendo wa kobe.Ufahamu kwamba asubuhi ya siku ya kwanza gari zaidi ya mia moja zimeshindwa kupita ndani ya mto zikingoja hali iwe shwari.
UviraOnline: Mazambi M’penge Wakul’itete