Tarehe 02 novemba 2013, maripota wawili wa RFI,GUSLAINE DUPONT na CLAUDE VERLON walitekwa nyara baadae kuuliwa kwa kupigwa risasi nje ya kidal kaskazini mwa mali.
Tarehe 02 novemba 1970, alizaliwa NOAH KIPRONO NGENY eldoret ndani ya bonde la ufa nchini kenya, akiwa ni mwana riadha mkenya.
Le 02 novembre 2013, les envoyés speciaux de RFI,GUSLAINE DUPONT et CLAUDE VERLON ont été enlevés puis assassné près de kidal au nord mali.
Le 02 novembre 1978, la naissance de NOAH KIPRONO NGENY à eldoret dans la rift valley, est un athète kenyan pratiquant le demi~fond.