
Wakaaji wa Kiliba Kagando pia wakuu viongozi wanafurai kuanzishwa kwa kazi ya kampuni ya kutengeneza sukari.Mkuu kiongozi makao wa jiji alijulisha siku ya tano asubuhi kwamba kila mkaaj atakiwa kuchangia kwa usalama ili wasiogopeshe wawekezaji vitega uchumi wasikimbie.