Kabare-RDC: Hali ya kujilipishiya sheria iliweza kuripotiwa hii leo

marché RDCHali ya kujilipishiya sheria iliweza kuripotiwa hii leo tarehe 10/01/2016 wilayani kabare kwa kuhuwawa kwa mama mmoja. Mama SIYOKA mwenye umri yapata miaka 50 ya kuzaliwa aliweza kuhuwawa majira ya saa kumi na mbili za asubuhi pa katana wilayani kwakuchutumiwa mambo ya uchawi.

Na huko wilayani walungu mama mwengine ajulikanaye kwa jina la MWANAMUKURU KAHASHA naye vilevile aliweza kuhuwawa hiyo jana tarehe 10/11/2016 pa lwizi groupement ndumba kwakuchutumiwa uchawi, ayati MWANAMUKURU KAHASHA aliacha yatima saba na uchunguzi inaendeshwa ilikujuwa walioendesha kitendo icho.


 

Pour UviraOnline: Ndigoza Jefferson Nakatende

Leave a Reply