Skip to content

UviraOnline

L’ouverture aux pays des Grands Lacs Africains & au Monde.

  • Home
  • Nouvelles
  • Santé
  • Arts & Culture
  • Vie & Amour
  • Chroniques
  • Vidéo
  • Équipe
  • Contact
Main Menu

Darasa la Kiswahili

Darasa la Kiswahili

DARASA LA KISWAHILI: Tarehe 29 Januari 2016

29/01/201626/12/2015 - by admin - Leave a Comment

Karibuni Kwenye Kipindi Cha Leo tarehe 29 januari 2016. 1. RAFADHA(MARAFADHA wingi); panka inayofungwa kwenye chombo ili kukiendesha, hélice kwa kifaransa. 2. BAHARIA; mtu anaefanya kazi katika chombo cha bahari,sailor …

DARASA LA KISWAHILI: Tarehe 29 Januari 2016 Read More
Darasa la Kiswahili

DARASA LA KISWAHILI: Tarehe 22 Januari 2016

22/01/201626/12/2015 - by admin - Leave a Comment

Karibuni Kwenye kipindi cha leo tarehe 22 januari 2016. 1. MABANO YA MRABA; alama zinazotumika kwa kufungia kitenzi,parenthèse kwa kifaransa. 2. DOBI; mtu anayefua ao kupiga pasi nguo kwa kulipwa …

DARASA LA KISWAHILI: Tarehe 22 Januari 2016 Read More
Darasa la Kiswahili

DARASA LA KISWAHILI: Tarehe 15 Januari 2016

15/01/201626/12/2015 - by admin - Leave a Comment

Karibu kwenye kipindi cha leo tarehe 15 Januari 2016. 1. TARAKILISHI; ni mashine inayopokea habari na kuishughulika kulingana na ratiba yake,ordinateur kwa kifaransa ao computer kwa kiingereza. 2. PUKU; ni …

DARASA LA KISWAHILI: Tarehe 15 Januari 2016 Read More
Darasa la Kiswahili

DARASA LA KISWAHILI: Tarehe 08 Januari 2016

08/01/201626/12/2015 - by admin - Leave a Comment

Karibu katika kipindi cha leo tarehe 08 Januari 2016. 1. POSTA: kituo cha kutuma ao kupokea barua ao mizigo. 2. TARISHI: mtu anaekuwa kwenye posta akiwa na kazi ya kugawa …

DARASA LA KISWAHILI: Tarehe 08 Januari 2016 Read More
Darasa la Kiswahili

DARASA LA KISWAHILI: Tarehe 01 januari 2016

01/01/201626/12/2015 - by admin - Leave a Comment

Karibuni katika kipindi cha leo tarehe 01 januari 2016. 1. JAHAZI: ni chombo cha usafiri majini kilichofunikwa juu kwa kitambaa. 2. ABIRI: ni kujipakiza ndani ya chombo cha usafiri, mfano; hivi …

DARASA LA KISWAHILI: Tarehe 01 januari 2016 Read More
Darasa la Kiswahili

DARASA LA KISWAHILI: Kipindi kipya tokea 01 january 2016

26/12/201526/12/2015 - by admin - Leave a Comment

DARASA LA KISWAHILI. Kwa kuwa UviraOnline ni jarida ambalo msomaji wake anapata habari na vipindi tofauti kwa lugha za kiswahili na kifaransa. Ni kwa sababu hiyo uongozi umeona ni vizuri kuanzisha …

DARASA LA KISWAHILI: Kipindi kipya tokea 01 january 2016 Read More

Plus recents

Crédit photo LUCHA

LUALABA: La LUCHA s’inquiete de l’arrêt de plusieurs chantiers d’intérêt public (Communiqué).

11/06/202511/06/2025

Photos tiers

Diplomatie: Les Chefs d’État de la CEEAC ordonnent le retrait des troupes rwandaises de la RDC.

08/06/202508/06/2025

Vérification-Sud-Kivu : Aucune fabrication des faux sinistrés n’a été faite par les autorités locales et la société civile à Uvira

03/06/202503/06/2025

RDC – Discours de Joseph Kabila : une sortie ratée ?

25/05/202525/05/2025

Plus Récents

  • LUALABA: La LUCHA s’inquiete de l’arrêt de plusieurs chantiers d’intérêt public (Communiqué).
  • Diplomatie: Les Chefs d’État de la CEEAC ordonnent le retrait des troupes rwandaises de la RDC.
  • Vérification-Sud-Kivu : Aucune fabrication des faux sinistrés n’a été faite par les autorités locales et la société civile à Uvira

VideoClip of the Week

https://www.youtube.com/watch?v=UQXTpId0Rts
Copyright © 2025 UviraOnline.
Powered by WordPress and HitMag.