Tags: ottawa

Ottawa-Canada: Programme ya maziko na kilio cha wabinti wetu Elizabeth na Rehema Muzaliwa

Ndugu wapendwa wa jam­aa na marafiki mahali ­popote mlipo, Ninachukua mda huu ku­wajulisha kwamba mazi­shi ya wabinti wetu w­awili Elizabeth na R­ehema wa ndugu yetu ­Ayamba Muzaliwa walio­fariki ijumaa tarehe ­9 mwezi huu wa décembre pa Ottawa-Canada­ yatafanyika samedi l­e 24 décembre pa Otta­wa. Mipangilio kamili­ ni kama hivi : Jeudi le 22 na ven­dredi…

RDC-Canada: Two girls of congo (Uvira) origin killed in a crash in Ottawa

“What I would like people to remember about them is their kindness, their generosity.” Kayamba Muzaliwa is speakinng of his two daughters, 18-year-old Elizabeth and 16-year-old Rehema. Remembering the best of them on the very day he lost them. The two young women were killed in a crash between a dump truck and a car…

Nos Artistes: Rencontre na muimbaji Nabindu W. Stani

Jumaa hili kwa kipindi chetu cha NOS ARTISTES, UviraOnline ilikutanana na mwana muziki NABINDU W. STANI. Ni mwanamziki anayeimba nyimbo za Injili ya Yesu Kristo (nyimbo zenye ushauri na Ujumbe ). Kwa leo anaishi mjini Ottawa inchini Canada, tangu mwaka wa 2008. Nabindu Alianza uimbaji wa nyimbo za kidini akiwa na umri mdogo katika mji…

Nos félicitations à Matenga pour sa Maitrise en éducation

Nos felicitations kwa ndugu et fils d’Uvira Modeste Matenga pour l’obtention de son diplôme de Maîtrise en éducation, Concentration Enseignement, apprentissage et évaluation. À Université d’Ottawa, Ontario, Canada le mardi 16 juin 2015 à 14h30 UviraOnline à eu l’occasion de parler à M. Matenga qui a tenu à présenter ses remerciments à toute la communauté vira-fuliiru du…