Stars: Undugu Kati ya Fizzo na Leila hauko tena wa kuficwa

Moja katika Video zinazo onekana katika Account ya Instagram ya mwanakike umoja anae itwa Leila, inaonesha Big Fizzo akiimba nyimbo ya Mapenzi. Katika hiyo Video, star huyo anatamka kama anampenda, inaoneka kama kama ni Video iliokua Recorded ikamtumiwa, kama ilivyo elezwa na Indundi Magazine.

Mwana Dada huyo ni moja katika wanadada walio semekana sana kama watembea na huyo Star. Ni huyohuyo mwanadada alie mshindikiza katika concert Rwanda na akaongelewa sana katika website za Kigali.

Msisahau kama huyo star ana mkee na mtoto wakike ufaransa. Wengi wanajiuliza kama amesha acana na huyo mama wa mtoto wake au bado angali nae.

Pour UviraOnline: Mpundu yannick

Fizzo na Leila ntibukiriFizzo na Leila ntibukiri_1Fizzo na Leila ntibukiri_2Fizzo na Leila ntibukiri_3Fizzo na Leila ntibukiri_4