Rwanda: kuuzisha pombe za kulevya imekatazwa kambini

16 october 2015
Katika kambi la Wakimbizi warundi uko Rwanda, wamekatazwa kuongeza kuuzisha pombe za kulevya.
Kiongozi wa kambi hiyo amesema kama Tatizo ya kwanza ni usalama kwakuwa walevi wanapigana busiku, na tena wanaongea sana busiku wakiwa wako wanakunywa hizo pombe, hiyo yote inasababisha wenye wanaishi mwa hiyo Kambi wasipate usingizi.
Na Tatizo la kiafya lilikua mezani,  wakinsema  kwamba pombe hizo hazina usafi. Hiyo inaweza sababisha wakimbizi wakamate ugonjwa huwo wakutokana na kutokua na Usafi.

Pour UviraOnline: King Yann

pombe walevi