Kadutu-RDC: Mvua mutaani Kadutu ilipelekeya mafaa ya watu 18

Kadutu bukavu
Mvua iliyonyesha usiku wa kuamkiya siku ya posho decemba 12/2015 pa mutaani Kadutu ilipelekeya mafaa ya watu 18 na nyumba kaza kupelekwa na maji hapa mujini bukavu. Duru zetu za mahali zilieleza kwamba kati ya watu ao 18 ni watu wa 2 ndiyo walio oneka wakiwa wamesha fariki mukiwemo maman mmoja na mtoto mmoja na wote walikuwa wa nyumba moja na wengine awakuweza kuone kana, na baba mmoja kukutwa amejeruliwa vikali.

Utafahamu kwamba si mara ya kwanza tukiyo ilo kujitokeza hapa mujini bukavu, vilevile duru hizo ziliongeza kusema kwamba watu wengi upenda kujenga sehemu hiyo.


UO: Ndigoza Jefferson Nakatende