Baraka-RDC: Quatre morts dans une manifestation à Baraka ce 16 octobre 2016.

manifestation-a-barakaKatika usiku wa siku ya posho 16 au 17/10/2016 kuamkia leo, kijana LUBEHA motard, kauwawa pa Baraka na watu wasiojulikana. Ikumbukwe kwamba kufuatana na hali hiyo vijana waendesha pikipiki wakiwa na asira waliandamana na kuchoma vifaa mbalimbali vya ofisi za serekali na kubomowa ofisi ya ANR.

Kwa kujibu jeshi ikatumia nguvu kwa kufyatua risasi. Mpaka sasa vijana inne tayari kuaga maisha na wengi wakijereuliwa, hali bado ingali ya wasiwasi.


Pour UviraOnline: Muzaliwa Kilozo Christophe

One Comment - Write a Comment

  1. Kwali inchi hii itabadilika mwaka gani!? Kila kukicha mauwaji ya watu, kabila na serekali yake ndiyo wahusika wa hayo yote, kabila ni raia wa rwanda hana huruma na wa Congomani, hataki kutoka madarakini, anaibi mali za inchi na kuzipeka kwao rwanda, wakongomani wame mchoka yaani hawamtaki hata kidogo,

Comments are closed.