Kavumu-RDC: Kijana mmoja kupigwa risasi na polici jana 21 dec 2015

Kavumu Bukavu [br] Ali ya usalama mdogo iliweza kuripotiwa hiyo siku ya kwanza decemba 21/12/ 2015 pa kavumu kwa kuhuwawa kwa kijana mmoja kwa kupigwa risasi na polici mida za saa moja za usiku.

Duru toka mahali hapo zinaeleza kwamba kijana rafiki alipigwa risasi na askari wa FARDC wakati alikuwa na pumuzika nyumbani kwake. Vijana walijaa na asira nyingi kuona mwenzi wao kuhuwa na mara moja nakuzuwa kelele na vurugu, kwake FELIX MAROHI wa shirika la raiya pa kavumu alieleza kwamba anashanga kuona polici na askari ndio wanaonekana kunyanyasa raiya kuliko kukinga raiya na mali yao.

Mauwaji ayo yaliweza kukumbusha mara tena mwili usiyo kuwa na uhai iliweza ogotwa hiyo siku ya mungu piya na kesi nyingi za ubakaji za watoto. Utafahamu kwamba ali ya usalama ilirudi kuwa sawa baada ya gasiya hiyo iliyo pamba moto kwa polici ambao waliweza piga bomu za kutowa machozi.

Marehemu aliacha mke na mtoto mmoja

UO: Ndigoza Jefferson Nakatende