AJALI YA GARI TARAFANI UVIRA

received_1663355407280074 
Wanafunzi wawili wa kike na kijana mmoja wa kiume wamefariki katika ajali ya gari iliyofanyika mchana wa jana ijumaa 30 Oktoba.

Tukio Limefanyika Katika Barabara Ya taifa N.5 ndani ya kata la kalundu mtaa wa solange, kulingana na mashaidi wanafunzi wawili wakitoka shuleni huku kijana wa kiume alikuwa akijitembeza wakapituliwa na gari moja lililokuwa likielekea bandarini kilundu na miili ya marehemu ikapelekwa kwenye monchwari ya hospitali kuu ya uvira na baadae kichukuliwa na familia zao ili kuandaliwa mazishi mchana wa leo ijumamosi huku gari likibaki kwenye polisi.

Wanafunzi waliofariki walikuwa waitmu mnamo darasa la sita la sekondari.

Pour UviraOnline: Kiza Djuma

WP_20151030_12_40_52_Pro[1]WP_20151030_12_47_04_Pro[1]