Mwezi huu wasaba, niliona picha za vijanaa ambao wameuwawa South-Africa zikionyeshwa ku Facebook za marafiki yangu, nikawazia kama niwalewale wanbali njo waliuwawa tena huko south, alafu sikusoma hata ilinijue niwanani.
Usubuyi ya leo nilikua naandika kusalimia kijana wa uvira anae kaa south, akanijibu kama habari ni mbaya kwa maana wanawamaliza South-Africa.
Mwezi huu Uvira ilipoteza watoto wake wawili ambao waliuwawa nawa sud-Africains.
Amisi Salikwo anayejulikana tena kwa jina la Masoso Werra (mtoto wa Jeremie) na kijana ungine ni Assumani Katamuka.
Kufwatana na habari UviraOnline alipata, Ilikua le 11 juillet 2015, Mtata province inayoitwa Eastern cape province yakwabo Mandela; Inasemekana Assumani Katamuka aliuwawa na famille ya fiancée wake sud-africaine. Alifika nyumbani kwao fiancée yake, akakuta mlango wa lupango ulisha funguliwa. Akaingia na gari alipotoka vijana wakamukamata nakumupiga visu mara kumi na tano.
Assumani Katamuka alizikwa le 19 juillet 2015.
Kifo cha Werra, wametuambia kama aliamuka akaanza lalamika ”njoaba banakuja nibeba, banakuja nibeba” akaanguka nakufa.
Tunatoa condoléances kwa famille zote mbili zilizo poteza vijana hawa.
God bless U all
Pour UviraOnline: William Muyuku
Assumani Kitamuka a ete tue comme vous l’aviez publie mais je ne pense pas que c’est sa belle famille. Werra Masole a ete trouve mort dans son lit, il n’a pas ete tue ni empoisonne comme votre article souligne.
Merci sana bwana Innocent, kwaiyi contribution na correction yako. Tulitoa nouvelle gisi tuliipewa naungine ndugu kule South.
Équipe UviraOnline