Un comité de lutte contre le VIH/SIDA est créer la soirée de mercredi au village d’enfants SOS d’Uvira à Kaala Kagando. Nous sommes dans la périphérique nord de la cité d’Uvira. L’information est livrée par le secrétaire exécutif locale du programme nationale multisectoriel de lutte contre le VIH/SIDA PNMLS en sigle et confirmé par le personnel du village d’enfant SOS à Kaala.
Selon le secrétaire exécutif local du PNMLS Uvira, le but est d’apporter une assistance aux personnes vivant avec le virus de SIDA et les protéger contre toute forme de discrimination et stigmatisation en milieu de travail.
KUUNDWA KWA KAMATI YA KUPIGA VITA UGONJWA WA UKIMWI HAPA KWENYE KIJIJI CHA WATOTO YATIMA UVIRA.
Kamati ya kupiga vita ugonjwa wa ukimwi imeundwa jioni ya hii jumatano kwenye kijiji cha watoto yatima SOS hapa uvira, kaala, kagando, ikiwa ni viungani mwa kaskazini mwa jiji la uvira, habari imetolewa na katibu tendaji wa mahali wa mpango wa kupiga vita ukimwi na kuakikishwa na watunishi wa SOS kaala, Kulingana na katibu wa PNMLS uvira lengo ni kuleta msaada kwa wanaoishi na virus vya ukimwi na kuwakinga na kila hali ya ubaguzi katika sehemu za kazi.
Wameelimishwa;Wafanya Kazi,Waganga,Wazazi,Waalimu na vijana,kulingana na hayo waalikwa walithibitisha furaha yao na kuahidi kuweka kwenye vitendo yote waliyofunzwa.