Songs: NA OMBEA wimbo mpya David Imani anaimbia Congo
Na Ombea: kwa hii mwisho wa mwaka wa 2017 David Imani mu kongomani anaye ishi South Africa anaimba wimbo huu juu yakuombea Congo inchi yake na Africa.
Basi usisahau kutumia ndugu pia ilinaye asikie.