Ndugu wapendwa wa jamaa na marafiki mahali popote mlipo,
Ninachukua mda huu kuwajulisha kwamba mazishi ya wabinti wetu wawili Elizabeth na Rehema wa ndugu yetu Ayamba Muzaliwa waliofariki ijumaa tarehe 9 mwezi huu wa décembre pa Ottawa-Canada yatafanyika samedi le 24 décembre pa Ottawa. Mipangilio kamili ni kama hivi :
Jeudi le 22 na vendredi le 23 décembre
§- Visite na exposition ya miili :
17h :00 hadi saa 22h :00
ku salon funéraire iitwaho
BEECHWOOD FUNERAL, CEMENTRY AND CREMATION SERVICES,
280 avenue Beechwood,
Ottawa, ON, K1L 8E2
Samedi le 24 décembre
§- Ibada kanisani : 9h :30 asubuhi,
kwenye kanisa la BIBLEWAY MINISTRIES,
500 Bride private, Nepean, ON, K2J 0J1;
§ Procession funèbre :
13H:45, Yaani cortège kutoka kanisani kujielekeza kwenye makaburi yale-yale ya
Beechwood Funeral, cementry and cremation services,
280 avenue Beechwood, Ottawa, ON, K1L 8E2;
§ Mazishi: 15h:00 papo-hapo;
§ Réception na kinywaji:
papo-hapo kwenye salon funéraire, baada ya mazishi.
Mchango wowote ajili ya kilio unakaribishwa.
Asante
Kwa niaba yangu na équipe ya UviraOnline na AfriqueCanadaTv, natoa condoléances kwa familia yote.
William Muyuku
Kwa niaba yangu na wana memba wote wa Solidarité shirika la Kivu, natowa pole kwa baba yetu Muzaliwa na jamaa lote.
Frederic Buyana
Candidat President
Solidarité shirika la Kivu – Canada
what happen to them?