Nos Artistes émission ya wanamuziki wetu inawaletea leo: BEST LIFE MUSIC
Nyuma ya miaka 6 kundi la wanamziki wanao imba katika mtindo wa hip hop, wanamaliza album yawo ya kwanza inao vikwa jina la Arrependimento, iyo kundi Best Life ya hao wanamziki 6 wakiwepo, Young Dany, Young Jpy, G Aka Kiboko na Mc Vitaa wanashukuru wote walio wasaidia katika kufanya hiyo album arrependimento. Katika wenyene wanaoshukuru kuna company African Sound Producer akiwa kama manager Kent-P.
Katika maongezi ya umoja mwa wanamziki wanao ndani ya hiyo kundi, ametaalifu UviraOnline kwamba ujembe uko katika hizo nyimbo 6 zilizo:
Never sleep walifanya na Matabaro , Kenkelewa balifanya na Black g, Champion walifanya na Sat-b Big Pain na Urukundo walifanya katika lugha ya Taifa (Kirundi) , ni wa kuendeleza inchi na tena na kupendana. ”Endapo tuna makosa mbere ya Mola tunasii watu wote kurundi mbere yake waombe msama” akiongea Young Dany.
Hao wanamziki wameambia UviraOnline kama katika hiyo miaka 6 hawakufanya tu hizo nyimbo lakini pembeni walifanya na zingine Single kama Better Than, Higher Girl, Ray Ban hizo zote kwa m’fuko wao bila management na wakisema kwamba vilikua ni vigumu sana.
Pembeni ya Audio kibao zilizo toka, kuna pia na Video 2 katika hiyo album zilitoka Never sleep na Big Pain na zingine pembeni kama Don’t Forget, Urukundo na RayBan. Hiyo album waliambia Redaction ya UviraOnline kama waliipana kwa bure kwa ajili ya kujitambulisha ila kuna ya pili itakuja ya kuuzisha.
Mwa siku za kufwata tutawambia gisi gani wanao talajia kuuzisha nyimbo zao endapo Burundi mara mingi mziki haulipi.
Pour UviraOnline: King Yann
[br] [br] [br] [br] [br] [br] [br] [br] [br] [br] [br]
Who Is Best Life Music? Season 01 Episode 01 | Photoshoot
Best Life Music facebook: https://www.facebook.com/BestLifeMusic?__mref=message_bubble
Nos Artistes:
Nouvelle fenêtre sur UviraOnline pour faire connaitre au grand public nos artistes musiciens. En faisant mes recherches j’ai découvert plusieurs artistes, groupes musicaux de chez nous Uvira, Fizi, Bukavu, Goma,Bujumbura, Kalemi, Kigali, … que la plupart de nous connaissons pas ou connaissons mal tout simplement. Alors, j’ai pensé qu’il serait une bonne chose si de temps en tant nous vous présentons ces groupes. Ainsi chaque jeudi nous vous présenterons un nouveau groupe ou artiste.