Music: Joyce Aline, musubiri mengi mazuri toka kwangu

Joyce Aline

Muimbaji wa nyimbo za Gospel, Joyce Aline, amezaliwa Uvira-DRC congo, kwa ivi anaishi Norvege. 

Haya ndio ameelezea UviraOnline:
JA: Nilianza kazi yakuimba tokea niko mdogo Uganda. Hapo Uganda nilikuwa mu kwaya na imba nakupiga gitar. Nilipo fika uku Norvege nilikuwa na saidia wengine kuweka ma voice mu nyimbo zao, ikasababisha batu bamingi kupenda kazi yangu nakuanza kulomba nitowe nyimbo zangu.
Kilicho nifanya zaidi ni anze imba niku fundisha ao ku changia navijana wenzangu maneno ya Mungu kupitia nyimbo.
Kwa myaka mitano na najiona na watu wengi, waibaji wenzangu, na Albums nzuri na nyimbo nyingi nzuri kwa Neema ya Mungu.

UO: Neno la Mwisho
JA:
Wasubiri mengi mazuri toka kwangu na wazidi ku sapoti kazi zangu. Na amani ya bwana iwe nao wote

Joyce Aline anapatikana kwa adress hizi
(subscribe, like, become member kumusapoti huu dada):

YouTube : https://youtu.be/1QEie8-SG9Q
Facebook: Joyce Aline
Instagram: Joyce_aline8
Snapchat: Joyce_1202

Video Une minute chrono