Leo le 24 Juillet 15h à Bujumbura, Kwenye Hotel Royal Palace kundi ya mandaalizi ya Uchaguzi katika Inchi ya Burundi, imetoa resultat ya ucaguzi mkuu wa raisi wa Burundi.
Raisi Peter Nkurunziza ameshinda ucaguzi huo kwa 69.41% pakifuatia Agathon Rwasa umoja mwa wanao ongozi Opposotion ya Burundi kwa 18.99%. Taux de Participation ya wa raia ilikua ni 73,44%
Raisi Nkurunziza ataapishwa tarehe 26 mwezi wa munane kama inavyo ongea Code electoral ya Burundi.
UviraOnline in Bujumbura
LES ELECTIONS SE SONT BIEN DEROULLEES/CENI BURUNDI
tunashukuru kua urejeshaji wa amani inchini burundi hapo nimetumainia kua na apa kuetu congo drc mambo ita enda pia sawa 2016. tusaidiane nakuzidi kuombeana.shukrani.