Bukavu-RDC: Ajali ya moto imejitokeza mujini Bukavu katika mtaa wa Ibanda

[br] Ajali ya moto imejitokeza hapa mujini bukavu katika mtaa wa ibanda mida hiyi ya mchana kati kwenye avenue sayo nyuma ya hotel MONT KAHUZI. Duru zetu za karibu zilieleza kwamba ya pata nyumba kumi ndizo ziliweza kuhunguwa na moto huu nakupelekeya vitu vya samani navyo kuweza kuhunguwa.

Utafahamu kwamba wenyeji wa nyumba hizo wamejaa namushangao mkubwa kwakuona jambo kama nailo kujitokeza na chanzo chenyewe cha ajali hiyo bado kujulikana. Gari la meya ya muji iliweza kufika ilikuweza kuzima moto huo.


Pour UviraOnline: Jefferson Nakatende

bukavu feu_7

bukavu feu_4
bukavu feu_6bukavu feu

 

One Comment on “Bukavu-RDC: Ajali ya moto imejitokeza mujini Bukavu katika mtaa wa Ibanda”

Leave a Reply