Tags: député

Polémique entre Justin Bitakwira et Idi Shabani (audio)

Mwezi wa tatu mwaka huu wa 2017, Bwana Idi Shabani alituma ujumbe wa maneno yenye kusikilika kupitia mitandao yaki jamii kama vile whatsapp, facebook,..  kuhusu Justin Bitakwira, ujumbe huo  ulifikia UviraOnline na ikamutumia bwana Bitakwira. Jibu la Bitakwira lilitoka baada ya siku mbili. Ila mambo hayo yamefika mbali, na sasa kunakua majibizano ndiomana UviraOnline imekuhabarisha…