Tags: dakika

Uvira-RDC: Dakika 5 juu yaukumbusho wa raiya 13 waliouwawa hapo Lemera

1 October 2015 Baada ya kuzikwa kwa watu 13 waliouliwa kikatili hapo lemera, hapo Uvira jana kumekusanywa pesa kiasi cha dala 12 000 kutoka kwenye benki ya TMB na nusu kutoka kwenye uongozi wa jimbo la kivu ya kusini, na pesa hizo kupewa zile familia 13 kama hivi; Dala 1000 kwa familia ya kila mwanajeshi,…