Kume andaliwa Show kubwa
taree 17-01-2016 hapa Tarafani Kwetu uvira ni kwajili yakumtafuta muimbaji anaekua na talenti Ya kuimba nyimbo nzuri…
nao nipamoja na :
TEAM BLACK, BRIANA GORETH, MUZALENDO, JOHN P.I, BIG MARCK, GASPARD DANSEUR, Na MTOTO NDIZI, GANSE OLIZO,…
Price: Yule Atakae Pata Bahati Yakuwashinda Wenzake Kwakuimba Vema Atakwenda Umarekani Kwa Bure!
itakua kwenye
#Restaurant_Bar_makroskopique mu avenue Uvira Karibu Na 5sur5.
Imezaminiwa Na Good Samaritin Waliotokeya Ulaya.
Wanaalikwa wasani wote, Na kwawale Wanaopenda Vipaji vya wakaka zetu wa Uvira wanao Imba Vizuri Nakucheza
Nyote Mume Alikwa kwenda tushuudie sisi wenyewe…
Kiingilio Nipesa :
1500fc & v.i.p 2500fc.
Avec Sucre Gratuit.
” Hii Nikwa mara Yakwanza kufanyika hapa uvira,
Nilazma tuwape sapoti hawa Wa Vijana.
NDUGU UNAWEZA KUI PARTAGE ABARI HII KWA MARAFIKI ZAKO ILI NAO PIYA WAPATE KUSOMA NAWAJUE.
Source: Habari za Uvira
Uvira. MUME ANZA JAMBO MUIMU
KABISA ILA MNACHO SAAUTU NI DRUA DETEUR