[br] Ni lazima kuleta wagonjwa hospitali haraka iwezekanavyo ili kupunguza vifo jijini Kigongo.Ni eneo ya kusini mwa mji wa uvira umbali wa kilometa 15 hivi kwenye bararara inayoelekea Fizi .
Taarifa yatolewa kwetu siku ya inne naye mganga mkuu wa kituo cha afya cha kigongo na kuhakikishwa naye mnyampara wa kalungwe Kigngojuu ya Alhamisi na muugu. Hayo yatukia wakati timu ya waandishi wa habari kutoka redio yako walipotembelea maeneo hayo.
Kwa mujibu wake mganga mkuu, wagonjwa huwasimli hospitali wakionekana wenye kuwezewa na marazi, kitu
kinachowasukuma kutuma baadhi yao kwenye hospitali kuu ya Uvira kwa matibabu zaidi. Mganga mkuu Kyomba Namulogoto bin Kashindi aeleza kuwa hali hii ni yatokana na umaskini, kujitibu nyumbani na matumizi ya maji machafu ya ziwa tanganyika isio tiwa dawa chlore. Maleria na kuhara pia kutapika ndio inayosababisha vifo vingi kijijini Kigongo.
[br] Français:
Il faut amener les malades à l’hôpital à temps , pour diminuer le taux de mortalités à Kigongo ,nous sommes dans un village situé à 15 kilomètres au sud d’uvira sur la route qui mène vers le territoire de Fizi. L’information est livré ce jeudi par l’infirmier titulaire du centre de sante de kiigongo et confirmé par chef de localité de Kalungwe à Kigongo, lors d’une décente sur terrain d’une équipe des journalistes de votre radio.
Selon nos sources les patients arrive souvent à l’hôpital parfois en état critique, ce qui pousse de le transférer à l’hôpital général de référence pour des soins approprier. L’infirmier titulaire Kyomba Namulogoto bin Kashindi précise que cette situation est du à la pauvreté,l’automedication et la consommation de l’eau du lac Tanganyika non traiter par la chlore.La malaria et les maladies hidrique sont les causes de la mortalité à Kigongo précise l’infirmier titulaire.
UviraOnline: MAZAMBI M’PENGE WAKUL’ITETE