Mchungaji Hatangibabazi husaidia familia zilizo kumbwa na mafuriko ya maji.

YALIYOJIRI LEO UVIRA
Hatua ya Kumi(10) Toka Mafuriko yatokee

QAC COMPANY LTD YATOA MSAADA WA CHAKULA KWA FAMILIA 10 ZA WAHANGA WA MAFURIKO UVIRA KUTOKA KWA MCHUNGAJI HATANGIBABAZI NA MKE WAKE TWIZERE

ikumbukwe kwamba hii ni Mara ya 10 sasa toka mafuriko yatokee Uvira na kuuwa pia kupoteza vitu muimu,

msaada huo ulikuwa wa:
UNGA WA MAHINDI
MAHARAGI
SUKARI
MCHELE
MAFUTA
SABUNI
CHUMVI

Uongozi wa AC COMPANY LTD umetoa shukrani Kwa wote wanaoendelea kuunga mkono projects za company hii kwakuendelea kujali jamii hasa kwa wakati huu mgumu ambao wengi walipitia Uvira

Leave a Reply