KUMBUKUMBU.
Tarehe 12 novemba 1938, kuzaliwa kwa aliekuwa rais wa tatu wa jamuhri ya muungano wa Tanzania BENJAMIN WILLIAM MUKAPA, alikuwa rais tangu 23 novemba 1995 hadi 21 desemba 2005.
NOSTALGIE.
Le 12 novembre 1938, la naissance du 3é Président de la république unie de la Tanzanie BENJAMIN WILLIAM MUKAPA, il a été président du 23 novembre 1995 au 21 décembre 2005.
UO: Kiza Djuma Akbar