KUMBUKUMBU: Tarehe 03 Novemba, Kuzaliwa Kwa BRENDA FASSIE

KUMBUKUMBU

Brenda fossiTarehe 03 Novemba 1964, Kuzaliwa Kwa BRENDA FASSIE johanisburg afrika kusini, alikuwa muimbaji wa asili ya xhosa. Baba yake alifariki akiwa na miaka miwili, baadae akaanza kupata kwa kuimba nyimbo kwa watalii akisaidiwa na mamae aliyekuwa mpiga piano.

 


 

jean bokasaTarehe 03 novemba 1996, kufariki kwa JEAN BEDEL BOKASSA, akiwa na miaka 75, katika mji wa bangui, akiwa ni rais wa zamani wa afrika ya kati, huku akiacha wajane 18 na mayatima 40.

 


 

UnescoTarehe 03 novemba 1958, kuzinduliwa kwa makao makuu ya UNESCO.

 

 

 


 

Leave a Reply