Tarehe 29 oktoba 1938, kuzaliwa kwa mwanasiasa na rais wa Liberia HELLEN JONSON katika mji wa Monronvia Liberia.
Tarehe 29 oktoba 1983, mtetemeko wa ardhi umekumba kaskazini-mashariki mwa Uturuki na kusababisha vifo vya watu 1330.
[br] NOSTALGIE
Le 29 octobre 1938, la naissance de la femme politique et présidente libérienne HELLEN JONSON à Monronvia libéria.
Le 29 octobre 1983, tremblement de terre dans le nord ~est de la Turquie fait 1330 mort.
Pour UviraOnline: Kiza Djuma