KINYAMAHOKO
Mwimbaji maarufu pa Uvira-RDC wa nyimbo maarufu za muziki alio nao mkononi yaani gondera. Mungu ni mwaminifu kwa watumishi wake wa kweli quelque soit niveau zao za elimu na vingine. Tuombeaneni.
[br] [br] Page Je unamujua?: page ya citoyen yeyote ordinaire au professionnel ambaye ana ji distinguer mu kazi au kitu chochote mwenye unapenda wengine wajue.
Andika misitari hata mbili juu yake, na picha moja au nyingi ili tumutangaze.