Uviraonline anawaletea collection hii ya dada Rosette. Dada huu ni mukongomani muswahili anayeishi Montréal pa Canada.
Collection hiyi ilikua na show tatu:
Show ya kwanza na ya pili ilikua mavazi ya Dachiki. ya mwisho ilikuwa mfano wa nguo za kawaida.
Show ya kwanza na ya pili ilikua mavazi ya Dachiki. ya mwisho ilikuwa mfano wa nguo za kawaida.
Akiwa kwenye maik ya afrique canada tv bibi rosette anazungumza kwamba:
Mimi ni mtaalam mavazi kwenye aina ya kuvaa na ninafanya ufundi cherehani wa aina zote isipokuwa ule wa kiafrika
Mimi ni mtaalam mavazi kwenye aina ya kuvaa na ninafanya ufundi cherehani wa aina zote isipokuwa ule wa kiafrika
Kwa yeyote anayetaka nguo hizi za matao ya juu zakuchonewa na dada rosette, unaweza fika kwenye duka lake ku adresse hii 4113 Bannantyne Verdun Montréal, Québec h4g 2 au
unamupigia simu kwa number hii: 438-765 6925.
Pour UviraOnline: William Muyuku