DARASA LA KISWAHILI: Tarehe 29 Januari 2016

Karibuni Kwenye Kipindi Cha Leo tarehe 29 januari 2016.

1. RAFADHA(MARAFADHA wingi); panka inayofungwa kwenye chombo ili kukiendesha, hélice kwa kifaransa.

2. BAHARIA; mtu anaefanya kazi katika chombo cha bahari,sailor kwa kiingereza.

3. KUNUSURIKA;kuokoka katika ajali.

4. NUSURA(MANUSURA wingi);mtu alieokoka kwenye ajali,survivor kwa kiingereza.

5. ANJALI(ANJALI wingi);mkanda wa kiunoni.

6. DOMOMWIKO; ndege mkubwa mweupe mwenye kishungi na domo kwa umbo la mwiko,spoonhill kwa kiingereza. Namna unavyosoma THE kwa kiingereza,na kwa kiswahili ni DH,

rafadhaDomdmwiko

Mwisho wa kipindi.

Darasa-la-kiswahili


 

Leave a Reply