DARASA LA KISWAHILI.
Kwa kuwa UviraOnline ni jarida ambalo msomaji wake anapata habari na vipindi tofauti kwa lugha za kiswahili na kifaransa. Ni kwa sababu hiyo uongozi umeona ni vizuri kuanzisha kipindi hichi ili msomaji aelewe anachokisoma.
Kila siku ya ijumaa mtakuwa mkipata kipindi chenyewe kikitayarishwa na mtangazaji wenu kiza DJUMA Akbar UviraOnline, huku kipindi cha kwanza kikiwajia tarehe 01 januari 2016.