Burundi: Ujumbe Hon. Nyabenda na Hon. Rwasa walipelekea ma Raisi wa EAC

Hon Nyabenda pascal Président wa Parlement ya Burundi na Hon Rwasa Agathon Vice Président wa pascal nyabenda et le président tanzanienParlement wakiwa wakitembelea inchi za East African Community – EAC (Burundi, Kenya, Rwanda, Tanzania na Uganda)

Kwa matembezi hayo ya kikazi, walikua na ujumbe wanaopelekea wakuu wa hizo inchi ukitoa Rwanda. Ujumbe huyo ulikua kuonesha Rwasa Agathon kama mkuu wa Opposition ya Burundi alie jiunga na gouvernement ya Bujumbura ili walete amani kwa inchi, akafika anakuwa vice President wa Assemblée Nationale.

Ujumbe wa Pili walikua wanashukuru hizo inchi tatu kwa kuungana na Burundi katika uchaguzi uliwo mtuma Raising nkurunziza kupata Mhula wa tatu. Ujumbe wa tatu ulikua wa kuwambia kama Burundi inaitaji kuendelea maongezi kati yawo na Opposition ili Gouvernement d’union national ilio ombwa na EAC iwepo.

Honorable NYABENDA Pascal akijimbu maswari ya JEUNE AFRIQUE kuusu kutokutana na President Kagame, aliongea kama kua makosa Inchi ya Rwanda iliofanya ya kuficha waliotaka kufanya coup d’etat.

UviraOnline

Leave a Reply